UKARABATI WA MIUNDUMBINU YA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII YAONGEZA UDAHILI CHUO CHA MALYA-MWANZA

Na Barnabas Kisengi, Kwimba Mwanza. Jitihada za Serikali kupitia wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi  za ukarabati wa Miundombinu vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini [FDC]umechochea   ongezeko la udahili wa wanafunzi katika chuo cha Maendeleo ya Wananchi Malya FDC kutoka wanafunzi 60 hadi zaidi ya wanafunzi 500 kwa mwaka. Hayo yamebainishwa leo Julai 29,2021  jijini Mwanza  na Mratibu